Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 13, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Mwanza. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, amehitimisha Kongamano la Nne la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza lililofanyika Jijini Mwanza akiweka mkazo kuwa mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ni nyenzo muhimu katika kuhakikisha kuwa kila taasisi inatimiza wajibu wake kwa ufanisi na hivyo kufikisha huduma bora kwa wananchi. Kutokana na…
SAA chache tangu Pamba Jiji itwae kombe ikiwa Kenya mbele ya wenyeji wao, Shabana FC, kocha mkuu wa timu hiyo, Francis Baraza amesema kikosi hicho kipo tayari kwa mechi ya kwanza wa Ligi dhidi ya Namungo itakayopigwa Septemba 18. Pamba Jiji iliyotwaa taji hilo kwa penalti 5-4 baada ya sare ya mabao 2-2 itaanza Ligi…
NUSU fainali ya michuano ya Kombe la Cecafa Kagame inachezwa leo baada ya kupigwa dochi kwa siku moja kupisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, kwa kupigwa mechi mbili kwenye Uwanja wa KMC, huku macho yakitupiwa pambano la KMC na Singida Black Stars. Mechi hiyo inawakutanisha makocha wenye heshima kubwa nchini, Marcio Maximo na Miguel Gamondi…
KIUNGO mshambuliaji wa KMC, Ibrahim Ajibu ameweka wazi atakuwa na msimu bora katika kikosi hicho akipewa nguvu na ubora wa usajili uliofanywa na uongozi wa timu. Ajibu msimu 2025/26 ataitumikia KMC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na amejiunga na timu hiyo akitokea Dodoma Jiji. Pia amewahi kucheza klabu kadhaa hapa nchini zikiwemo Simba,…
FOUNTAIN Gate Princess iko kambini Dodoma ikijiandaa na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake, lakini kuna sura mpya zimeonekana kambini. Timu hiyo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya saba na katika mechi 18 ilishinda mechi sita sare mbili na kupoteza 10 ikikusanya pointi 20. Miongoni mwa sura mpya ni pamoja na kiungo mshambuliaji…
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema mshambuliaji wa timu hiyo, Valentino Mashaka ni mmoja wa wachezaji ambao taifa litajivunia hivi karibuni kutokana na kipaji chake, huku akimtabiria kufanya makubwa msimu huu kama atatuliza akili na kupiga soka. Ally alisema katika kikosi hicho ana nafasi ya kucheza na kuonyesha kiwango chake, lakini anachotakiwa Mashaka ni…
KABLA ya mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, kocha wa Simba, Fadlu Davids na benchi la ufundi la timu hiyo wana siku tatu ngumu ambazo ni sawa na saa 72 ili kuandaa furaha kwa mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi. …
*Wananchi Kigoma kumpokea kwa heshima,kibabe na kishindo kikubwa Anaandika Mshititi Dkt.Ahmad Sovu MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)kwa nafasi ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, ambaye anaendelea na kampeni za kusaka kura na leo Septemba 13 anatarajia kuanza ziara ya mikutano ya kampeni za kuomba kura kuelekea Uchqguzi Mkuu Oktoba 25,2025. Udadisi wa Mshtiti katika mitaa na…
António Guterres alitoa simu wakati wa sherehe ya kila mwaka kwa misingi ya makao makuu ya UN huko New York kupiga kengele ya amani. Kufuatilia sababu ya amani ni “moyo unaopiga” wa shirika, “lakini leo, amani imezingirwa,” yeye Alisema. “Migogoro inazidisha. Raia wanateseka. Haki za binadamu na sheria za kimataifa zinakanyagwa – ikiacha sura ambazo…