September 2025
Baraza la Usalama kukutana kufuatia ukiukwaji wa Urusi wa Airspace ya Kipolishi, kwani wasiwasi unazidi vita vya drone – maswala ya ulimwengu
Mkutano huo uliulizwa na Poland baada ya kuripoti kwamba ukiukwaji angalau 19 na drones za Urusi za eneo lake mara moja hadi Jumatano wakati wa kombora kubwa na mgomo wa drone dhidi ya Ukraine. Sehemu hiyo iliashiria uchochezi mkubwa zaidi tangu kuanza kwa uvamizi kamili wa Urusi wa Ukraine mnamo 2022. Wakati Poland na washirika…
Wiki ya Wananchi, kishindo cha vaibu
KILELE cha wiki ya Mwananchi kimehitimishwa kwa kishindo, huku kila shabiki akitoka meno nje akitamba mambo freshi na msimu mpya uanze. Yanga ilifanya tamasha hilo leo ambapo kilele chake kilikuwa palepale Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na mashabiki wa klabu hiyo kufurika kwa wingi. *Vinywaji kibao*Mapema tu ilikuwa mashabiki wakiwa wanaingia uwanjani,…
Samaki wa Ziwa Ikimba Kuongezeka Hadi Tani 15 Baada ya Kufungwa Miezi 6
Na Diana Byera,Bukoba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imelifungua Ziwa Ikimba lililopo Halmashauri ya Bukoba, mkoani Kagera, ikiwa ni miezi 6 tangu lilipofungwa kwa lengo la kuongeza kiwango cha samaki kwenye ziwa hilo. Akizungumza wakati wa hafla ya kufungua ziwa hilo, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Erasto,…
Waziri Ndejembi Aikabidhi Yanga Hati ya Eneo la Uwanja wa Jangwani
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Septemba 12, 2025 ameikabidhi Klabu ya Soka ya Yanga hati ya ongezeko la eneo la ujenzi wa Uwanja wao ulioko mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam ikiwa ni chini ya wiki mbili alizoahidi katika Mkutano Mkuu wa Klabu hiyo kuipatia hati. Mhe….
Hiki hapa chanzo cha ajali migodini
Dar es Salaam. Wakati mara kadhaa Serikali ikinyooshewa kidole pale zinapotokea ajali kwenye migodi, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini, Terrence Ngolo amesema ajali hizo haziwezi kuisha kutokana na watu kukiuka maelekezo ya wataalamu. Amesema wakati mwingine ajali hizo hutokea kwa uzembe hasa pale wachimbaji wanapokiuka maelekezo ya tahadhari yanayotolewa na wataalamu. Ngolo amesema hayo leo…
Mambo yanayowasibu wachimbaji wadogo migodini, ufumbuzi watajwa
Dar es Salaam. Licha ya kuwa uchimbaji wa madini ni moja ya shughuli zinazovutia watu wengi, hususan wachimbaji wadogo, bado kundi hilo linakabiliwa na changamoto nyingi zinazohatarisha usalama na afya zao. Miongoni mwa changamoto kubwa ni matumizi ya kemikali hatari kama zebaki, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa takribani asilimia 71 ya shughuli za uchimbaji nchini zinahusisha…
Majaliwa azindua kampeni za ubunge Nachingwea
Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua kampeni za ubunge Nachingwea, akitoa wito kwa wananchi kuchagua wagombea wote wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza kwenye kampeni zilizofanyika uwanja wa maegesho ya malori Nachingwea mjini, leo Septemba 12, 2025…
Mwita: Ninaijua Kibamba, nitashughulikia changamoto zilizopo
Dar es Salaam. Mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kibamba, Otaigo Mwita, amesema amedhamiria kutatua changamoto zilizopo katani humo atakapopewa ridhaa na wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni zake leo Septemba 12, 2025 eneo la Kibamba Shule, amesema anaielewa vizuri hali ya kata hiyo…
Hati ya Uwanja Yanga, ya kabidhiwa Lupaso, GSM aachiwa msala
KLABU ya Yanga imekabidhiwa rasmi hati ya ongezeko la kiwanja cha Jangwani, kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo, huku viongozi wa timu hiyo wakimtangaza GSM kuwa mwekezaji wa uwanja huo. Waziri wa Ardhi Deogratias Ndejembi, ndiye aliyefichua hayo alipotangaza katika Kilele cha Wiki ya Mwananchi iliyofanyika leo Kwa Mkapa ambapo amesema sasa…