Clara Luvanga anaitaka rekodi Saudia
BAADA ya kuingia kwenye kikosi bora cha wiki mara mbili kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia, mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr amesema huo ni mwanzo tu kwake. Msimu mpya wa Ligi ya Wanawake Saudia umeanza na hadi sasa zimechezwa mechi tatu na nyota huyo ameingia kwenye kikosi bora cha wiki mara…