Uhamiaji yaja na siku 28 za kukagua vibali
Arusha. Idara ya Uhamiaji imetangaza siku 28 za ukaguzi na uhakiki wa vibali vya ukaazi na hadhi mbalimbali za kiuhamiaji kwa raia awa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana Septemba 11, 2025 na Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Paul Mselle, ukaguzi huo utafanyika kuanzia Septemba 11,…