Ngome Yazidi Kung’ara BAMMATA – Global Publishers

Timu za Ngome zinazomilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zimezidi kung’ara katika mashindano ya  Michezo mbalimbali ya Majeshi (BAMMATA) ambayo yanafanyika mjini  Zanzibar. Baadhi ya michezo ambayo inaongoza  hadi sasa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa mikono (handball), mpira wa pete…

Read More

Meridian Bonanza Yaanza Kutikisa Ulimwengu wa Kubashiri

MERIDIAN Bonanza imewasili kwa kasi kubwa ikiwa imebeba burudani na ushindi. Ukiwa ni mchezo mpya kabisa, Bonanza inaleta upekee, msisimko na teknolojia ya kisasa inayomweka mchezaji katikati ya kila tukio. Huu si mchezo wa kawaida, ni safari ya ushindi isiyotabirika. Meridian Bonanza imeundwa kwa ubora wa hali ya juu, ikijumuisha muonekano wa kuvutia na athari…

Read More

Tengeneza Mpunga Leo na Meridianbet

NI Ijumaa nyingine ya kuanza kufikiria mkwanja wa maana ambapo ligi mbalimbali zinaendelea baada ya mapumziko ya Kimataifa. Sasa ni muda wa wewe pia kurejea kuokoto kwa kubashiri mechi zako kwa dau lolote. LALIGA leo hii kule Hispania itaendelea kwa mtanange mmoja ambapo Sevilla FC baada ya kushinda mechi yake iliyopita atakipiga dhidi ya Elche…

Read More

Serikali ilivyojizatiti kuondoa nishati isiyo salama ya kupikia

Dar es Salaam. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanyika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Watanzania wengi bado wanatumia isiyo salama, hali inayohatarisha afya zao na kuharibu mazingira. Hatua hiyo inaifanya Serikali kusimama kikamilifu katika utekelezaji wa mkakati unaolenga kufikia 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More