Nje ya uwanja nyomi | Mwanaspoti
NJE ya Uwanja wa Benjamin Mkapa mambo yameanza kunoga kwa mashabiki wa Yanga kuonekana kwa wingi wakiwa wanashuka kutoka kwenye mabasi na usafiri mwingine ili kuingia kushuhudia tamasha la kilele cha wiki ya Mwananchi. Tamasha hilo ambalo ni la saba kwa Yanga tangu lianzishwe mwaka 2019 chini ya aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Dr Mshindo…