Mwongozo wa kupunguza swala ukiwa safari
Dar es Salaam. Miongoni mwa hukumu za safari ni kwamba inaruhusiwa msafiri kupunguza Sala (qasr) zenye rakaa nne ambazo ni Adhuhuri, Alasiri na Isha, kwa kuzisali rakaa mbili kila moja. Hii ndiyo ilikuwa ni Sunna na muongozo wa Mtume(Rehema na amani ziwe juu yake) ambaye hakuwahi kusali kamili (rakaa nne) katika safari zake. Riwaya zinazodai…