September 2025
Mastaa Yanga wampa presha kocha Angola
WALE wapinzani wa Yanga, Waliete Benguela, wanaendelea kujipanga kabla ya kukutana na Yanga Septemba 19, lakini kocha mpya wa kikosi hicho amewataja mastaa wawili ambao wanampa presha. Yanga ikimaliza sherehe za kilele cha wiki ya Mwananchi, itakuwa na akili ya kujipanga kwenda kukutana na Simba, kwenye mchezo wa ngao ya jamii, utakaopigwa Septemba 16, 2025….
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 12, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Kwa Yanga hii Folz anatamba nje, ndani
WANAYANGA wanaweza kutembea kifua mbele wakati msimu wa 2025-2026 ukikaribia kuanza kwani uongozi wa klabu hiyo umefanya uwekezaji mzuri katika kujenga kikosi imara. Ukiangalia katika usajili wa dirisha kubwa uliofungwa Septemba 7, 2025, kuna nyota wapya 11 wamesajiliwa na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara, Kombe la FA na Ngao ya Jamii. Nyota hao…
Fadlu aamua kuja kivingine | Mwanaspoti
SIMBA juzi usiku ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika tamasha la Simba Day, lakini kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids amefunguka kuhusu maandalizi ya kikosi kwa ajili ya msimu mpya akiweka bayana mfumo mpya anaokuja nao anaoamini utawatesa wapinzani. Kocha huyo Msauzi anayeinoa Simba kwa msimu wa pili, juzi…
Hawa, Tamasha la Yanga Day liliwabeba
Leo Septemba 12 ndiyo kilele cha tamasha la saba la Yanga lijulikanalo kama ‘Wiki ya Mwananchi’ litakalofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kila kilele cha Wiki ya Mwananchi, Yanga hucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki na timu kutoka nje ya Tanzania na safari hii itakabiliana na Bandari FC ya Kenya. Yanga…
Miaka 90 Yanga si mchezo
TANGU mwaka 2019, ambapo Mwenyekiti wa Yanga wakati huo Dkt. Mshindo Msolla alitekeleza Wiki ya Mwananchi kwa mara ya kwanza na kuwa na kilele chake kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kwa burudani na mechi ya kirafiki, tayari imepita miaka sita na miezi minane. Kumbukumbu zinaonyesha kuwa tamasha la kwanza la Yanga lilianza kwa sare ya…
Vizuizi vipya kwa Wanawake Wanawake wanaofanya kazi kwa UN, weka juhudi za misaada katika hatari – maswala ya ulimwengu
Hatua hizi zinaweka msaada wa kuokoa maisha ya kibinadamu na huduma zingine muhimu kwa mamia ya maelfu ya watu walioathiriwa na tetemeko la ardhi la hivi karibuni lililo hatarini, Ujumbe wa Msaada wa UN nchini Afghanistan (Unama) alionya ndani taarifa. Jumapili, de facto Vikosi vya usalama vilizuia wafanyikazi wa wanawake wa Afghanistan na wakandarasi kuingia…
Mashambulio ya Israeli kwa viongozi wa Hamas huko Doha ‘yanafungua sura mpya na hatari’ – maswala ya ulimwengu
© Al Jazeera Moshi huongezeka kutoka kwa jengo huko Doha, Qatar, ambalo lililengwa na mgomo wa kombora la Israeli. Alhamisi, Septemba 11, 2025 Habari za UN Baraza la Usalama linakutana katika kikao cha dharura juu ya saa kujadili mgomo wa Israeli juu ya mji mkuu wa Qatar, Doha, ambao ulilenga uongozi wa kisiasa wa Hamas…
Mwanaharakati wa mrengo wa kulia, Charlie Kirk, auawa Utah – Global Publishers
Last updated Sep 11, 2025 Mwanaharakati Charlie Kirk Mwanaharakati Charlie Kirk, mshirika wa karibu wa Rais wa Marekani Donald Trump na mwanzilishi wa Turning Point USA, ameuawa kwa kupigwa risasi katika chuo kikuu nchini Marekani. Gavana Spencer Cox ameuita tukio hilo “uuwaji wa kisiasa.” Kirk, mwenye miaka 31, alikuwa akihutubia wanafunzi…