TARI MBIONI KUANZISHA VITUO VIDOGO VYA UTAFITI WA MBEGU ZA VIAZI MVIRINGO NA TUFAA
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), iko mbioni kuanzisha Vituo vidogo vya Utafiti wa mbegu za viazi mviringo pamoja na tufaa katika Vijiji vya Ibaga na Iniho vilivyoko katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe kutokana na umuhimu na uhitaji wa mbegu hizo. Mkurugenzi Mkuu wa TARI Dkt, Thomas Bwana akiwa ameongozana na wataalam mbalimbali…