
Mwago wa Chaumma aahidi shule kila mtaa Mbagala, mikopo kwa vijana
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hadija Mwago, ameahidi kubadilisha sura ya elimu kwa kujenga shule moja katika kila mtaa wa jimbo hilo, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani na kuhakikisha watoto wanapata elimu bora karibu na makazi yao. Ametoa kauli hiyo leo,…