Uagizaji plastiki wapaa, wadau wataja njia mbadala
Dar es Salaam. Wakati uingizaji wa bidhaa za plastiki kutoka nje ya nchi ukiongezeka kwa asilimia 25.9, wadau wamependekeza matumizi ya vifungashio vya kioo au udongo katika bidhaa zinazotumia plastiki. Hiyo ni kwa sababu wanunuzi watalazimika kurudisha chupa ya zamani ili kupata bidhaa mpya tofauti na sasa wanapotupa hovyo chupa za plastiki baada ya kumaliza…