Hatma ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Kujulikana Jumatatu – Video – Global Publishers
Hatima ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kujulikana Jumatatu, Septemba 15, 2025, saa 3:00 asubuhi, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam. Uamuzi huo utatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Ndunguru, baada ya kumaliza…