Yanga kumenoga… Sita wampa kicheko kocha
NAMBA hazidanganyi. Hata kama ni mechi za kirafiki za kutesti mitambo, lakini kwa nyota wapya sita waliosajiliwa na Yanga msimu huu wote wakiwa wa kigeni ni wazi, wapinzani lazima wajipange kuizuia timu hiyo kutetea mataji, huku kocha wa timu hiyo Romain Folz akichekelea. …