Mgombea urais UDP aahidi majisafi, elimu bure hadi chuo kikuu
Geita. Mgombea urais wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Saumu Rashid amesema chama chake kimejipanga kutatua changamoto kubwa zinazowakabili Watanzania kwa kuhakikisha upatikanaji wa majisafi na salama, elimu bure hadi chuo kikuu, huduma za afya nafuu na uwekezaji wenye tija katika rasilimali za Taifa. Akizungumza leo Septemba 10, 2025 kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika…