
City FC Abuja mabingwa Tanzanite Pre-Season International
MASHINDANO ya Tanzanite Pre-Season International yamehitimishwa leo Septemba 7, 2025 kwa City FC Abuja kuwa mabingwa. City FC Abuja kutoka Nigeria, imetwaa ubingwa huo kufuatia ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Namungo ya Ruangwa mkoani Lindi. Katika mchezo huo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, dakika tisini zilimalizika kwa…