Samia kufanyia kazi ombi la Nzega kuwa mkoa
Nzega. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi maombi yaliyowasilishwa kwake na mgombea ubunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, ikiwemo kuanzisha mkoa mpya wa Nzega. Samia ametoa ahadi hiyo leo, Septemba 10, 2025, wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Jimbo la Nzega…