Dakika 10 za Joh Makini Simba Day
Msanii wa Hip Hop, John Simon Mseke maarufu Joh Makini amepiga shoo iliyoamsha shangwe kubwa kwaa mashabiki ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa akitumia takriban dakika 10. Joh Makini anayetambulika pia kwa jina la Mwamba wa Kaskazini, amepiga shoo hiyo katika Tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025. Shoo ya Joh Makini ilianza…