ULEGA AENDELEA KUINADI ILANI YA UCHAGUZI MKUU CCM AKIOMBA KURA KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu,Mkuranga MGOMBEA ubunge Jimbo la Mkurunga mkoani Pwani Abdallah Ulega, ameendelea kuimarisha kampeni zake kwa kunadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 huku akisisitiza dhamira ya chama hicho ni kuendelea kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa maendeleo. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Kata…