Wakamuliwa buku mbili, kupiga picha bango la mastaa Simba
WAKATI biashara mbalimbali zikiendelea kufanywa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa linapofanyika tamasha la Simba Day leo, wapiga picha mnato nao wameanzisha ubunifu wa kuhakikisha wanajipatia pesa katika siku hii kubwa kwa mashabiki wa Simba. Badala ya kupiga picha tu za mashabiki wakiwa wamekaa sehemu tofauti tofauti, sasa wameamua kuweka mabango ambayo shabiki anayehitaji atapigwa picha…