MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA ATOA RAI VIJANA IRAMBA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Na Said Mwishehe,Singida. MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu amesema moja ya ahadi ya Serikali kwa wananchi wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida ilikuwa ni uanzishwaji soko la madini ambalo limeshaanzishwa eneo la Shelui hivyo ametoa rai kwa  vijana kuchangamkia fursa. Dk.Samia ameyasema hayo leo Septemba 10,2025 alipokuwa akihutubia maelfu ya wananchi…

Read More

Mfahamu Twalib Kadege Spidi Mperampera hadi Ikulu

Miaka 10 iliyopita, Taifa lilipokuwa linauelekea  uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, aliibuka na kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” iliyobeba tafsiri ya maono yake ya kuwafanya Watanzania wafanye kazi bila lelemama. Mwaka 2020, mgombea urais wa Chama cha The United People’s Democratic Party(UPDP), Twalib Ibrahim…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Twalib Kadege Spidi Mperampera hadi Ikulu

Miaka 10 iliyopita, Taifa lilipokuwa linauelekea  uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, aliibuka na kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” iliyobeba tafsiri ya maono yake ya kuwafanya Watanzania wafanye kazi bila lelemama. Mwaka 2020, mgombea urais wa Chama cha The United People’s Democratic Party(UPDP), Twalib Ibrahim…

Read More

Aliyekuwa Waziri Mkuu Thailand kutupwa jela mwaka mmoja

Bangkok. Mahakama Kuu ya Thailand imeamuru waziri mkuu wa zamani, Thaksin Shinawatra, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kubaini hakutimiza ipasavyo kifungo chake cha awali alichotumia muda mwingi hospitalini badala ya gerezani. Katika uamuzi uliosomwa juzi Jumatatu, majaji walisema Thaksin, mwenye umri wa miaka 76, alihamishiwa hospitalini kinyume cha sheria wakati akianza kutumikia…

Read More

I$M BANK TANZANIA YAINGIA UBIA NA PESAPAL KUIMARISHA MALIPO KIDIGITAL KWA BIASHARA

Na Mwandishi Wetu I&M Bank Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Pesapal Tanzania, kampuni yenye leseni ya kutoa huduma za malipo na suluhisho za kidijitali. Taarifa iliyotolewa leo Septemba 10,2025 imeeleza ushirikiano huo huu unalenga kupanua upatikanaji wa huduma salama na za uhakika za malipo ya kidijitali kwa biashara nchini Tanzania.Imesema kupitia ubia huo,…

Read More

DKT.NCHIMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI MKOA WA KATAVI.

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Mariadhiano na Amani Tanzania Mkoa wa Katavi (JMAT)  leo Jumatano Septemba 10,mjini Mpanda ,Katavi. Mazungumzo yao yalijikita kuangalia jinsi gani ya kuendeleza…

Read More