Mziki mnene wa Simba Day
LEO ndiyo ile siku ya kipekee kwa Simba na mashabiki wa klabu hiyo, iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu. Ni kilele cha Tamasha la Simba Day na ndiyo siku maalumu ya Wanalunyasi hao kutambulisha kikosi kizima kwa msimu mpya wa 2025/2026. Huu ni msimu wa 16 wa Simba Day tangu lilipoanza rasmi mwaka 2009, chini ya Mwenyekiti…