Siha, Rombo zashika mkia matumizi ya nishati safi Kilimanjaro
Moshi. Halmashauri za Siha na Rombo mkoani Kilimanjaro zimetajwa kuwa na kiwango cha chini zaidi cha matumizi ya nishati safi ya kupikia katika taasisi za umma na binafsi, kulinganisha na halmashauri nyingine za mkoa huo. Hali hii inatajwa kuchangia madhara kiafya na uharibifu wa mazingira kutokana na utegemezi wa kuni na mkaa. Katika Halmashauri ya…