DK.SAMIA: KITUO SGR,BANDARI KAVU KUIFUNGUA BAHI KIUCHUMI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Bahi MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Ujenzi wa kituo cha treni ya mwendo kasi (SGR) pamoja na bandari kavu zinazokwenda kujengwa Wilaya ya Bahi inakwenda kuvutia uwekezaji na kufungua fursa za ajira kwa vijana. Akihutubia maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bahi…