September 2025
‘Jamii zinajitahidi kuishi kwa msingi’ – maswala ya ulimwengu
Waandishi wa habari waandishi wa habari huko New York kupitia kiunga cha video, Shannon O’Hara alizungumza kutoka kwa Jalalabad juu ya hali nchini Afghanistan siku chache baada ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6 na barabara zake mbaya. “Tuliona familia ambazo maisha yake yalikuwa yamevunjika ndani ya dakika chache,” mkuu wa mkakati wa Ocha…
Uongozi wa Wanawake Muhimu kwa Un’s Un kwa 80, anasema Rais wa Bunge la zamani – Maswala ya Ulimwenguni
Siku ya Jumanne, Annalena Baerbock wa Ujerumani atakuwa mwanamke wa kwanza wa Ulaya kushikilia wadhifa huo na ni rais wa kike wa tano tu katika historia ya Bunge. Katika usiku wa uzinduzi wa Baerbock, Habari za UN alizungumza na mmoja wa watangulizi wake. María Fernanda Espinosa, Waziri wa zamani wa Ulinzi na Mambo ya nje…
ULEGA AOMBA KURA KWA AJILI YA DKT. SAMIA, UBUNGE NA MADIWANI MKURANGA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga, Mkoa wa Pwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Alhaj Abdallah Ulega, leo Jumatatu Septemba 8, 2025 ameendelea na mikutano yake ya kampeni kwa kuwahutubia wananchi wa Kijiji cha Bupu katika mkutano wa hadhara. Katika hotuba yake,Ulega alianza kwa kuwaomba wananchi waendelee kumuamini na kumpa kura za kishindo Rais wa…
UN hutoa msaada wa haraka baada ya shambulio kubwa la Urusi ‘kote Ukraine – maswala ya ulimwengu
Zaidi ya drones 800 zilizinduliwa katika mawimbi iliyoundwa kuzidisha ulinzi wa hewa ya Kiukreni, kulingana na ripoti za habari, na jengo la serikali lilipigwa katika mji mkuu Kyiv kwa mara ya kwanza. Mamlaka ya Kiukreni iliripoti kwamba wanne waliuawa, na 44 walijeruhiwa. Simu za hewa-mbaya ziliendelea kwa masaa 11 moja kwa moja katika mji mkuu…
DK.NCHIMBI AWASHURUKURU KALAMBO KUJITOKEZA KWA WINGI MKUTANO CCM
Na Mwandishi Wetu MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewashukuru wananchi wa jimbo la Kalambo kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano wa kuomba kura za mgombea Urais kupitia Chama hicho Rais Dk.Samia Suluhu Hassan. Akitokea jimbo la Kwela,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini,Dkt.Nchimbi amewashukuru Wananchi…
Flames, Tigers jino kwa jino ubingwa Kikapu Mbeya, wadau waitwa kusapot
HAIISHI hadi iishe. Ni neno unaloweza kutumia kuelezea ugumu wa kumpata bingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mbeya baada ya Flames na Tigers kutoshana nguvu katika mechi mbili za fainali. Iko hivi, katika mchezo wa fainali ya kwanza iliyopigwa juzi Jumamosi, Flames iliibuka na ushindi wa pointi 88-62 dhidi ya wapinzani wao, ambapo fainali…
TMA YAHIMIZWA KUENDELEA KUSHIRIKISHA WADAU ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
…………….. Dodoma; Tarehe 8, Septemba, 2025. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehimizwa kuendelea kushirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa nchini. Mgeni rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya TMA, Mhe. Jaji Mshibe Ali Bakari alisema hayo wakati akifungua mkutano wa 24 wa wadau katika kujadili…
Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Kukupatia Ushindi
JE unajua kuwa unaweza kushinda leo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia Mataifa ya Afrika?. Mechi kibao za pesa zipo leo kuanzia majira ya saa 10:00 jioni. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi hapa. Katika kundi H, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Equatorial Guinea dhidi ya Tunisia…
JKU yang’olewa kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika
Yei Joint Stars ya Sudan Kusini imeanza kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya JKU ya Zanzibar kwenye mechi ya kwanza ya kundi C la michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Ulinzi Complex, Nairobi, Kenya. Matokeo hayo yanaifanya JKU kuondolewa kwenye mashindano hayo ya Cecafa kwa Wanawake…