TUME YAZITAKA TAASISI NA ASASI KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA KWA WELEDI
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima Ramadhani akizungumza leo Septemba 08, 2025 wakati akifungua kikao kazi cha Tume na taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 mkoani Dodoma ambapo aliwataka kutekeleza jukumu walilopewa kwa ufanisi na…