Chaumma kufuta michango ya elimu ikiahidi kuwezesha kilimo cha zabibu
Mvumi. Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja, ameahidi kupunguza mzigo wa michango ya shule kwa wazazi na walezi endapo chama hicho kitapata ridhaa ya kuunda Serikali. Akizungumza leo Jumatatu Septemba 8, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Mpwayungu, Jimbo la Mvumi, Minja amesema michango…