MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI NCHINI ETHIOPIA
……………………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema licha ya Afrika kuchangia chini ya asilimia nne katika uzalishaji wa hewa chafu duniani lakini ndiyo inayoathiriwa zaidi na mabadiliko ya Tabianchi na hivyo kuhitaji usaidizi wa haraka katika kuhimili hali hiyo na kuhakikisha mapinduzi ya kijani. Makamu wa Rais…