Mawakili waketi wakiwasubiri majaji kesi ya Mpina

Dodoma. Mawakili wa Chama cha ACT -Wazalendo na wale wa Serikali wameshaingia na kuketi kwenye viti vyao mahakamani tayari kwa ajili ya kesi ya Luhaga Mpina aliyeenguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Leo Jumatatu Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masijala Kuu-…

Read More

Namna ya kumsaidia mtoto anayemaliza darasa la saba

Dar es Salaam. Wakati wanafunzi wa darasa la saba wakitarajia kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi Septemba 10 na 11 mwaka huu, wadau wameainisha njia nzuri ya kuishi nao kwa miezi mitatu ijayo. Kipindi hiki cha likizo kinatajwa kuwa fursa nzuri kwa wazazi na walezi kusaidia kukuza vipaji vya watoto wao, hivyo kupata…

Read More

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN

………   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi kwa kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani.   “Ni jukumu lako kwenda kutangaza fursa zilizopo hapa nchini, tumia vizuri mahusiano yetu…

Read More

DART ilivyojichongea mahakamani, yageuziwa kibao

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imewageuzia kibao Wakala wa Serikali wa Uendeshaji wa Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar Rapid Transit Agency (DART), na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) walioishtaki kampuni ya Spark Venture (T) Limited, wakilalamikia kuvunjwa kwa mkataba wa kibiashara. DART, msimamizi wa mfumo huo wa Mabasi Yaendayo…

Read More