Polisi waimarisha ulinzi, kesi ya Lissu Mahakama Kuu Dar
Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akitarajia kupandishwa kizimbani leo katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kwa ajili ya usikilizwaji wa hoja au maelezo ya awali ya kesi ya uhaini inayomkabili, ulinzi umeimarishwa kuanzia nje, getini hadi ndani ya Mahakama. Ulinzi huo umeimarishwa na askari…