AICC KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZAKE

Na Mwandishi wetu KITUO cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC)kimesema kuwa kinaendelea kuboresha kumbi zake mbalimbali huku kikiwakaribisha wadau wa kimataifa na kitaifa kufanya shughuli zao za mikutano katika kumbi zao kutokana na madhari uwepo wa madhari nzuri. Akizungumza leo Septemba 26,2025 wakati akiongea na waandishi wa habari katika maonesho ya 22 ya wahandisi yanayoendelea…

Read More

Mtibwa Sugar yazinduka, Jahazi la Fountain lazidi kutota

MABINGWA wa zamani wa Tanzania, Mtibwa Sugar jioni ya leo imezinduka katika Ligi Kuu msimu huu kwa kuinyoosha Fountain Gate kwa mabao 2-0 na kuzidi kulizamisha jahazi la wapinzani wao hao wanaoburuza mkia ikipoteza mechi zote tatu za awali ilizocheza hadi sasa. Fountain iliyotoka kuchapika kwa mabao 3-0 mbele ya Simba ilianza msimu wa 2025-2026…

Read More

Azam yafanya kweli, yazifuata Simba, Yanga

MABAO mawili katika kila kipindi katika pambano la marudiano la Kombe la Shirikisho Afrika lililomalizika jioni hii, yametosha kuivusha Azam FC kwenda raundi ya pili ya michuano ya kimataifa ikizifuata Simba, Yanga, Singida BS na KMKM zilizotangulia mapema. Azam iliifyatua El Merreikh ya Sudan Kusini kwa mabao 2-0 katika mechi  iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam…

Read More

Simba hiyooo, sasa kuivaa Nsingizini Hotspurs

SIMBA imefuzu raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya jioni ya leo kulazimishwa sare ya 1-1 na Gaborone United ya Botswana, lakini imepenya kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1. Kufuzu kwa Simba kumetokana na ushindi wa bao 1-0 ilioupata ugenini wiki iliyopita ambao kwa matokeo ya mechi ya leo iliyopigwa Kwa…

Read More