27 wajitosa mbio za magari za Afrika
MADEREVA 27 wa Tanzania walikuwa wamejiorodhesha kushiriki raundi ya tano ya ubingwa wa mbio za magari barani Afrika hadi kufikia mwishoni mwa juma kabla ya mbio hizo kutimua vumbi katikati ya mwezi huu mkoani Morogoro. Mbio hizo zinajulikana kama Mkwawa Rally of Tanzania na zitafanyikia kwenye hifadhi ya msitu wa Mkundi mkoani Morogoro kati ya…