Majaliwa aitaja miradi mitano mikubwa akizindua kampeni Mchinga
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewahakikishia wananchi wa Lindi kuwa miradi mbalimbali ya maendeleo itaendelea kutekelezwa endapo watamchagua mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025. Amesema miradi hiyo ni pamoja na gesi, bandari ya uvuvi Kilwa, ujenzi upya wa barabara ya Dar es Salaam–Lindi,…