DK.SAMIA SULUHU HASSAN AIHIMIZA MAKUNDI YAVUNJWE CCM İLİ KUWA WAMOJA“ TUSIISHIWE POWER”
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Mafinga MWENYEKIITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho katika Uchaguzi mkuu mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wana CCM kuvunja makundi na iwawe wamoja ili wasiishie Power kama walivyo wengine. Akizungumza katika mkutano wa kampeni za Urais kuelekea Oktoba 29,2025 uliofanyika Mafinga…