Kadege kuleta tuzo za kimahakama, kusimama na wanyonge kwenye haki
Dodoma. Chama Cha United People’s Democratic Party (UPDP) kimetangaza kubadiri neno hukumu za mahakamani kuwa tuzo ili kila mhalifu apate haki yake. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Septemba 30, 2025 na mgombea urais wa chama hicho Twalibu Kadege wakati akinadi sera zake katika stendi ya daladala soko la majengo jijini Dodoma. Katika mkutano huo, Kadege…