Wanaume wahimizwa kupima saratani ya tezi dume mapema
Moshi. Wakati saratani ya tezi dume ikitajwa kushika kasi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanaume 470 waliopimwa mwaka 2023, 170 walikutwa na saratani hiyo bila wao kujua. Hayo yameelezwa leo Septemba 28, 2025, na Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Magonjwa Yasiyoambukiza (KCRI) cha Hospitali ya KCMC, Profesa Blandina…