Kocha JKT ampa Bajana maua yake
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema ongezeko la kiungo mshambuliaji Sospeter Bajana litainufaisha timu hiyo kutokana na kipaji na uwezo alionao. Ahmad alisema anaufahamu uwezo wa Bajana kwani aliwahi kufanya naye kazi walipokuwa KMC na ni miongoni mwa vipaji vikubwa nchini, hivyo anatarajia ataongeza ushindani wa namba kikosini. Bajana amejiunga na JKT Tanzania…