Polisi yamsaka aliyeonekana akimnywesha mtoto pombe
Dar es Salaam. Mamlaka za Serikali zimeutaka umma kusaidia kuwezesha kupatikana mwanamke ambaye kupitia mitandao ya kijamii ameonekana akimnywesha mtoto mdogo kunywa pombe, tendo ambalo ni kinyume cha sheria. Jeshi la Polisi katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Septemba 6, 2025 limeeleza limeona picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii akionekana mwanamke akimhamasisha na kumnywesha…