Fountain yanasa beki Mrundi | Mwanaspoti
UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kati wa Namungo raia wa Burundi, Derrick Mukombozi, baada ya nyota huyo kuafikiana maslahi binafsi na mabosi wa kikosi hicho. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa kikosi hicho zimeliambia Mwanaspoti, Mukombozi amekubali maslahi binafsi na tayari amepewa mkataba wa…