TDS yaitibulia City FC Abuja Tanzanite Pre-Season
TDS imeitibulia City FC Abuja katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya michuano ya Tanzanite Pre-Season International baada ya leo Septemba 5, 2025 kuichapa bao 1-0. City FC Abuja iliingia katika mchezo huo uliofanyika kuanzia saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, ikiwa tayari imefuzu nusu fainali, lakini…