Bajana atua jeshini na mzuka
BAADA ya kuagana na uongozi na wechezaji wenzake wa Azam FC, kiungo Sospeter Bajana ametua JKT Tanzania akiwa na mzuka mwingi, akisema yupo tayari kwa ushindani ndani ya kikosi hicho anachoamini kitamrudisha katika ubora aliokuwa nao awali. Bajana amemalizana na Azam baada ya kuitumikia kwa miaka 15 na msimu ujao atakuwa na kazi jeshini kuitumikia…