Gamondi ajipanga upya Afrika | Mwanaspoti
SINGIDA Black Stars imetinga raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing’oa Rayon Sports ya Rwanda kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1, huku kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi akisema anajipanga upya ili kuhakikisha wanafuzu hatua ya makundi. Gamondi mwenye rekodi ya kuifikisha Yanga katika hatua ya makundi ya…