MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIANA NA KUOMBA KURA KWA WANANCHI JIMBO LA UYOLE

Na Said Mwishehe,Mbeya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akisalimiana Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 05,2025. Dk.Samia wamepata nafasi ya kusalimiana na wananchi hao na kisha kuomba kura akiwa…

Read More

NEMC YAJA NA USAFI KAMPENI 2025

:::::::: Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezindua kampeni mpya ya usafi iitwayo “NEMC Usafi Campaign 2025” yenye lengo la kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu katika usafi wa mazingira na kuhakikisha nchi inakuwa safi, salama na yenye afya kwa wote. Kampeni hiyo ambayo itatekelezwa kwa ushirikiano na Ofisi ya Rais – TAMISEMI,…

Read More

Idadi ndogo ya kesi za wanawake na wasichana yashtua Mahakama ya Afrika, yaitisha kongamano kujadili

Na Seif Mangwangi, Arusha KUFUATIA kuwepo kwa idadi ndogo ya kesi zinazohusu wanawake katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCPHR), Mahakama hiyo imelazimika kuwakutanisha wadau mbalimbali ili kuboresha uelewa wao kuhusu taratibu za Mahakama na nafasi ya wanawake na wasichana katika kupata Haki. Kwa mujibu wa Naibu Msajili wa Mahakama hiyo,…

Read More

Cheza Super Heli na Meridianbet, Shinda Samsung Galaxy A25

MERIDIANBET imezindua ofa ya kipekee inayochanganya msisimko wa mchezo na zawadi ya thamani, nafasi ya kushinda Samsung Galaxy A25 mpya kabisa kwa kucheza mchezo maarufu wa kasino mtandaoni, Super Heli. Super Heli ni mchezo unaotumia dhana rahisi lakini yenye kuvutia. Helikopta inapopaa angani, odds huongezeka kadri inavyopaa juu, na mchezaji anapovuta dau lake kwa wakati…

Read More

JALI USALAMA WAKO NA WA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA – RTO PWANI

MKUU wa kikosi Cha Usalama Barabarani Mkoa wa Pwani, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Edson Mwakihaba amewataka maafisa usafirishaji wa Mapinga na Kerege Wilayani Bagamoyo kujali usalama wao, Usalama wa watumiaji wengine wa barabara na kuzingatia sheria za usalama barabarani. Ameyasema hayo Septemba 04, 2025 alipofanya kikao na maafisa usafirishaji huko Mapinga ambapo aliwataka kuzingatia sheria…

Read More

Mechi za Kufuzu WC Ulaya Kukupatia Mkwanja Leo

LEO tena ni siku nyingine tena ya wewe kuondoka na pesa ya maana ukibashiri na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Mechi nyingi za kufuzu Kombe la Dunia 2016 zinaendelea. ODDS KUBWA zipo hapa ingia na utengeneze jamvi sasa. Wales watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Kazakhstan ambao hawapewi nafasi kubwa ya ushindi siku ya leo wakiwa…

Read More

Pamba yazifuata mechi tatu Kenya

KIKOSI cha Pamba Jiji kinaondoka nchini leo Ijumaa kwenda Kenya kwa ajili ya kucheza mechi tatu za kirafiki za kujiweka sawa kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025-26. Kwa mujibu wa ratiba ya klabu hiyo inayonolewa na kocha Mkenya, Francis Baraza ni kwamba kesho Jumamosi itaanza kutesti mitambo dhidi ya Mara…

Read More

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUNUKU TUZO YA CHAKULA BARANI AFRIKA

WANAWAKE wawili wanasayansi, Profesa Mary Abukutsa-Onyango kutoka Kenya na Mercy Diebiru-Ojo kutoka Nigeria wametangazwa kuwa washindi wa Tuzo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2025 (Africa Food Prize 2025). Tuzo hiyo yenye thamani ya Dola za Marekani 100,000, ilikabidhiwa rasmi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye…

Read More

Risasi yaivua ubingwa Kahama Sixers

Timu ya mpira wa kikapu ya Risasi iliifunga Kahama Sixers kwa pointi 64-61, katika fainali ya Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Shinyanga iliyofanyika kwenye Uwanja wa  Pope Leone XV uliopo Kahama. Ushindi umeifanya timu hiyo itwae ubingwa kwa matokeo ya jumla ya michezo 2-1, ambapo katika fainali ya kwanza Kahama Sixers ilishinda kwa pointi…

Read More