Mnigeria arithi mikoba ya Assinki Singida Black Stars
BAADA ya Singida Black Stars kumtoa kwa mkopo aliyekuwa beki wa timu hiyo Mghana, Frank Assinki, uongozi wa kikosi hicho tayari umekamilisha usajili wa Mnigeria Victor Chukwuemeka Collins, ili kurithi mikoba yake kwa mkataba wa miaka miwili. Collins aliyezaliwa Novemba 2, 2024, katika mji mkuu wa jimbo la Enugu, Nigeria, amekamilisha usajili huo kwa mkataba…