Mjadala matumizi ya lugha za makabila majukwaani, INEC yatoa kauli
Dar/Moshi. Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani zikiingia siku ya tisa leo Septemba 5, baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali na wapambe wao wanatumia lugha za makabila pasipokuwa na wakalimani. Baadhi ya maeneo ambayo matumizi ya lugha za makabila yanaonekana kushamiri pasipo uwepo wa mtafsiri wa lugha ni mikoa ya Kanda…