Profesa Muhongo ampigia debe Samia akitaja yaliyofanywa na Serikali Musoma Vijijini
Musoma. Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakazi wa jimbo hilo kumpigia kura za ushindi kwa asilimia 95 mgombea urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan kwa maelezo kuwa sababu ya kufanya hivyo wanayo. Profesa Muhongo ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 4, 2025 katika Kijiji cha Kiriba wakati…