Jeshi la Polisi laonya wasichana picha za utupu
Tanga. Jeshi la Polisi limewataka wasichana kuepuka kujipiga picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu za mikononi ili kuepuka madhila na udhalilishaji unaoweza kutokea endapo picha hizo zitasambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Limesema hata kama mmiliki wa simu hajasambaza picha hizo binafsi, iwapo simu itapotea, kuharibika au kuchukuliwa na mtu mwingine, anaweza kutumia nafasi hiyo…