 
        
            Mkongwe agusia bato jipya Simba
UWEPO wa Moussa Camara kama kipa namba moja ndani ya Simba unaelezwa ni changamoto kubwa anayokwenda kukabiliana nayo, kipa mpya wa kikosi hicho, Yakoub Suleiman aliyetua hivi karibuni akitokea kwa maafande wa JKT Tanzania. Yakoub ambaye ni kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars kwa sasa, ametua Msimbazi sambamba na beki wa kati,…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
         
        