CPA RUTH HASSAN AWATAKA WANACCM JIMBO LA SAME MASHARIKI KUVUNJA MAKUNDI
NA WILLIUM PAUL, SAME. ALIYEKUWA Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Same mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi, CPA Ruth Hassan amewataka Wanachama wa Chama hicho katika Jimbo hilo kuvunja makundi na kuwapambania wagombea wanaotokana na CCM washinde kwa kishindo. CPA Ruth alitoa kauli hiyo jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za Mbunge wa Jimbo…