Serikali yaondoa kusudio kupinga shauri la Mpina, sasa kusikilizwa Jumatatu
Dar/Dodoma. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imepanga kusikiliza shauri la kuenguliwa katika uteuzi mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, baada ya maombi kutolewa na kujibiwa kwa maandishi. Mahakama imetoa maelekezo hayo leo Jumatano, Septemba 3, 2025, baada ya wajibu maombi, Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kuachana na mpango…