Nyenzo utekelezaji sera ya maendeelo watoto yapatikana
Unguja. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Abeida Rashid Abdallah amesema kuwa mpango jumuishi wa malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa miaka mitano, ni nyenzo katika utekelezaji wa sera za maendeleo ya watoto pamoja na kufanikisha malengo ya kitaifa na kimataifa. Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akifungua…